WASILIANA NASI

sparkle effect

Kwa maoni, ushauri, au utakapo kuwasiliana nasi, tumia anwani zifuatazo:
Barua pepe: charmasabbi@yahoo.com
Vilevile unaweza kuwasiliana na mtumishi wa Mungu moja kwa moja kupitia mtandao wa facebook kwa kubonyezahapa. Waweza pia kutembelea ukurasa wa "Neno La UZIMA" hapo facebook kwa kubonyeza hapa.
Tutumie ujumbe nasi tukakujibu mapema kwa kadiri Mwenyezi Mungu atuwezeshavyo.

Nakutakia siku njema yenye baraka tele. Ubarikiwe pindi unapojifunza neno la Mungu katika tovuti hii na mahali pote ujifunzapo. Roho Mtakatifu atuongoze katika kujifunza kweli na afungue fahamu zetu ili tupate kuijua kweli na kuiishi hiyo kweli .

Asante kwa kufungua ukurasa huu; pia, endelea kujifunza masomo mazuri yaliyomo katika tovuti hii. Kumbuka kuwajulisha rafiki, ndugu, na jamaa zako ili nao washiriki baraka hizi.

Ni mimi mtumishi wa Mungu,

             Mwinjilisti Masanja Sabbi.

Mwenyezi Mungu akubariki katika jina la Yesu Kristo, amina.

TUMA KWA RAFIKI :

Twitter FacebookMore

 
Kuhusu Huduma Hii | Masharti Ya Utumiaji Wa Tovuti Hii | Wasiliana Nasi | Tangaza Kupitia Tovuti Hii