MASWALI & MAJIBU

sparkle effect

Ukurasa huu ni mahususi kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali yanayohusu imani mbalimbali za dini, pamoja na historia za mambo ya imani tofauti za kidini.

Hapa unaweza kuuliza swali, kutoa ufafanuzi au kuweka mada yoyote ile inayohusu mambo ya imani za kidini. Kila msomaji wa hii tovuti yupo huru kuchangia mada au kuweka mada katika huu ukurasa.

Karibuni nyote tujifunze neno la Mungu kwa pamoja.

5 MAONI:

Unknown said...

kilop

Unknown said...

katika kitabu cha ufunuo wa yohana inaeleza habari za ufufuo wa kwanza na ufufuo wa pili , nataka nijue kwa nyakati hizi je? ufufuo wa kwanza umepita au bado hauja timia ..
nimeuliza kwa sababu katika injili ya mathayo mtakatifu inaeleza kuwa baada ya YESU KRISTO kufufuka kutoka katika wafu baadhi ya watakatifu waliokufa zamani walionekana wakifufuka(MATHAYO MTAKATIFU 27:52-53)je huo ufufuo ambao watakatifu walifufuka wakati wa yesu ni wajinsi gani

AUGUSTINO YOHANA KORONDI said...

Je nihalali kuweka picha za yesu ndani Na,kwenye nyumba za,ibada,Na,kuamini ndie yesu
Na kiujumla zile picha,nizawatu,walioigiza,video,ya,yesu,Na kizazi chetu kinamezeshwa hivyo?

Unknown said...

Naomba ni fikishe salamu kutoka hapa nairobi...

Unknown said...

Swala langu ni hili...The Book of John 17:6-17 how do I introduce it nikisoma kanisani??Asante

Post a Comment

TUMA KWA RAFIKI :

Twitter FacebookMore

 
Kuhusu Huduma Hii | Masharti Ya Utumiaji Wa Tovuti Hii | Wasiliana Nasi | Tangaza Kupitia Tovuti Hii