HUDUMA YA MATANGAZO


sparkle effect
Tunatoa huduma ya kurusha hewani matangazo yote katika tovuti hii isipokuwa tu yale matangazo yanayohusu pombe na ulevi, sigara, pamoja na yale yote yasiyompa sifa na utukufu Mwenyezi Mungu. Mikutano ya injili tunaitangaza bure.
Matangazo mengine tutayatoza gharama nafuu kwa siku, au wiki, au mwezi. Ili kutupatia tangazo / matangazo yako; wasiliana nasi kwa anwani zifuatazo:
Barua pepe: charmasabbi@yahoo.com

Simu namba: +255 756 147 354 au +255 788 011 850 (Tafadhali usi-bipu.)
Au; Tembelea ukurasa wetu wa facebook kwa kubonyeza hapa"Neno La UZIMA".
Ni mimi mtumishi wa Mungu,
             Mwinjilisti Masanja Sabbi.
Mwenyezi Mungu akubariki katika jina la Yesu Kristo, amina.

TUMA KWA RAFIKI :

Twitter FacebookMore

 
Kuhusu Huduma Hii | Masharti Ya Utumiaji Wa Tovuti Hii | Wasiliana Nasi | Tangaza Kupitia Tovuti Hii